Tulonge

Nimpende nani..........Hasa wakuaminika,
Atakae nithamini.......Penzi langu kulishika,
Ajue nataka nini........Bila mimi katamka,
Anitunze sinikhini......Nimtunze kadhalika.

Views: 350

Replies to This Discussion

latifa nipende mimi
Latifa huyo mumeo anaonekana anapata raha saaana.Maana wayajua mapenzi haswaaa.

lol umechelewa nimewahiwa
Boniface Msami said:
latifa nipende mimi
sio nayajua bali napewa mapenzi

Tulonge said:
Latifa huyo mumeo anaonekana anapata raha saaana.Maana wayajua mapenzi haswaaa.
kaka Boni pole ulijua umewahi kumbe umechelewa, nawe utampata wa kukupenda na kukupa mapenzi mazuri umtunze akutunze

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*