Mapenzi ni kizungumkuti,kuyastahimili twahitajika.Lakini Mapenzi talasimu,huponya uchaa,mapenzi duwaa hufukuza afrati na mapenzi halbadiri huteketeza umati.Ila mapenzi ni mapenzi kwa apendwaye na aliye penda
Do not force love. It will come in good time—perhaps not with the person you initially want, but love definitely will come if you are willing to share it with someone.