Tulonge

Mimi kama mimi kwa mtazamo wangu naona mapenzi ya siri yana ukomo wake marafiki zangu.Unapokuwa unapenda mapenzi ya siri sana, unampa wakati mgumu mwenzako. Ni rahisi kufikiria kwamba, unafanya hivyo kwa kuwa ama hujiamini au una mtu mwingine. Weka mambo hadharani. Mtambulishe mwenzi wako kwa marafiki zako. Jiamini, unapokutana na mtu uliyesoma naye zamani au kuishi naye sehemu moja, mwambie kwamba uliyenaye ni mwenzako na unatarajia kuingia naye kwenye ndoa. Kufichaficha kunaondoa utamu wa mapenzi. Kunazidisha maswali ambayo hayana majibu. Kama yapo ni huyo mwenzako kujijibu mwenyewe. Kwa kawaida, hatajipa majibu mazuri. Yatakuwa ya kinyume – yenye tafsiri mbaya. Kwamba yawezekana hutaki kumtambulisha kwa kuwa una mtu mwingine. Je, ni kweli? Kama ndivyo huna sababu ya kumpotezea muda mwenzako. Kama si kweli, basi amka. Gundua kwamba ulikuwa unafanya makosa na uanze ukurasa mpya.

Ni mtazamo tuu,hata wewe waweza kuwa na mtazamo wako.  

Views: 1448

Replies to This Discussion

Hahahahah@Christer safi sana umempa boonge la jibu najua hatauliza tena...

Hiyo ndo dawa ya mgonjwa wa wivu alfan, full dozi. lazima apone, mi ndo doctor bwana!!

Ndio maana nakupendaga sana...lol

Christer Christopher said:

Hiyo ndo dawa ya mgonjwa wa wivu alfan, full dozi. lazima apone, mi ndo doctor bwana!!

huenda akawa anakupenda ila kwa kua ana mtu ndo swali linapokuja............coz kwa sisi wanaume kupenda wanawake ni jadi ambayo mungu alituumba nayo,ukiona mwanaume anasema hapendi wanawake ujue ana matatizo,ila sasa je utakua nao wangap hilo ndo swali lisilo na majibu@Dis

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*