Tulonge

STYLE IPI UNAITUMIA  NA MWENZI WAKO KWA SASA?

Views: 880

Replies to This Discussion

hahahaaa.. ngoja kwanza nikalale alafu nitajua!!

nitarudi msijali, nitawaambia,

ahahahahahahahaha! Hiyo ya mwisho imekaa poa kweli..

Yangu haipo hapo. Mimi huwa nalala juu yake hadi kunakucha

Hahahaa....  @ Severin

Dis tuambie we yako ipi? Mimi wangu ameibiwa siku akirudi nyumbani nitawaambia.

Mi hapa nikichunguza vizuri naona karibia zote nakamua tu,huwa sifanyi mchezo katika style adimu na muhimu kama hizi!!. Ispokuwa hizi mbili za mwisho,hizo hazijakaa sawa na zina utata kidogo! Lakini zilizobaki aaaaaaaaa,mbona bomba tu,Hahahaha!!

Sorry nimesahau kufunguka zaidi,ni hivi:Pale mwanzo maeneo ya juu kwa juu ,ninayoipenda saaaaaaaaaaaana kupita maelezo kati ya hizi zote ni ile ya kwanza ya upande wa kulia,hii kaka ni ya kimataifa, mimi napendaga kuiita Style Takatifu, nikimaanisha kwamba hiyo imekula baraka zote.Hahahahahaha!

Mimi huwa naipenda hii, maana huwa nina kazi kibao kwenye komputa hivyo lazima nitoroke tu atake asitake haahahhaaaaaaa.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*