Tulonge

Wanaume wapeni dozi za nguvu wanawake zenu wafike kileleni

Nasikitisha na kushangaza,unakutana na Msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze Mapenzi akiwa na Miaka 19 hakuna Mwanaume yoyote amewahi kumfikisha kileleni...Imagine,anafanya Mapenzi miaka karibu 10 lakini anatumika yeye tu...Amekuwa Sugu sasa na kilele pekee anachokijua ni cha Mlima Kilimanjaro,amekata tamaa kama kuna kitu kama hicho duniani.. Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili umridhishe inapaswa kwanza uende Gym,ule Siagi na jibini,dozi ya karanga na supu ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa..Lakini unapaswa pia kumfanyia Counselling ili aamini tena kwamba kilele sio Kibo na Mawenzi tu...inataka Moyo...

WANAUME:Msiwafanyie hivyo Wasichana,wapeni dozi inayostahili,ukipewa chezo kamua haswa,sio unakurupuka tu hueleweki unachofanya ni nini Robo saa unakoroma..Huo sio uanaume..Uanaume kazi..Mnatupa shida tunakuja kuoa Wanawake wamekomaa,hata utumie Mwiko kilele hakionekani hata kwa darubini... Ukipewa Kazi itendee haki kazi...Kama hujui kukuna nazi waachie wakwezi...Gi*rl*s wanapata shida sana,halafu we mtaani unajitamba kumbe huna lolote.

Views: 3253

Replies to This Discussion

Hebu muelekeze ninakopatikana nimshughulikie ili aje kukusimulia..

Moreen, inaelekea wewe ni mtaalam wa haya mambo, Lakini ngoja nikuongezee ujuzi. unajua cc wanaume pia nguvu zetu zinatokana na mwanamke anaejituma, kama huna mashamsham staili yako ni ileile ya tangu enzi za mababu kifo cha mende, ukibadilishiwa walalamika eti unaumia kwa tabia hiyo lazima mwanaume achoke mapema, namatokeo yake akimaliza yeye tu usingizi hapohapo, kwani hata chakula kikifululiza kinaisha hamu. 

hivi unadhani jongoo gani lisipande mtungi endepo litakuta na kifua kizuri kama chako? "NYONYO" binafsi siwezi kulala kama nikibahatika kukutana na uhundo huo uliotuonyesha, bila malipo. Mtoto kifua mashalaaa. 

Hahahah Alfan mwehu. Unajuwa wadada wengi wanawatupia lawama wanaume bila kujiangalia wenyewe wakoje sasa wewe unataka game la kufa mtu wakati umefuga kucha ndeefu unashindwa hata kujisafisha unamkuta mdada mrembo ila chumba kinanuka papa na nguru. Unajuwa kilele kinahitaji uwanja msafi wachezaji wasafi ndiomana wadada wa tanga wakimuamulia mwanaume hatoki maana wanajuwa kuandaa mechi unakuta
Chumba kinanukia nimefukishwa udi sio ule wa kijiti al udi pili yeye mwenyewe kashauchuchumalia haswaa mwanga wa taa uwe hafifu shuka nyeupe kitandani imezunguukwa na mauwa ya asmini na bibie anapitapita kihasalahasala hajulikani anachokitafuta huku kavaa nguo ya kichokozi kama unavyojuwa wanaume tunapenda vilivyofunikwa yaan utegwe kudogo sasa hapo mdada ajipendekeze kuja kwa bedi aone balaa lake patakuwa hapatoshi.
Sio bint katoka ngomani sijui disco anakurupuka anataka afikishwe kileleni

Hahahahhahahhahaaa Alfan umetisha

Hahahahhaaa Alfan nitakupeleka siku moja umpatie kichapo cha ukweli, usihofu.

-Mjata kifua cha kawaida tu hiki kisikufanye udenda utoke.

-Omary unaonekana mtaalam sana wa majambozi

KAKA OMARY HAPO UMELONGA DADA ZETU WANATISHA WANAJUA MWANAUME ANATAKA NINI KWA NAMNA GANI NA WAKATI GANI, ANGALIA KULE TANGA WANYAMWEZI WALIVYO JAA NA KULOWEA SIO BURE NI MAMBO KITANGA UDI UNAFUKIZWA TUNDU ZOTE ZA MWILI KWA NINI USIPAGAWE?

MORRN asie toka udenda kwa kifua hicho anamatatizo, Eti kaka Omari vp hapo

Ha haaa haaaa haaaaa... Omary nakuvulia kofia kwa darasa ulilolitoa.Omary said:
Hahahah Alfan mwehu. Unajuwa wadada wengi wanawatupia lawama wanaume bila kujiangalia wenyewe wakoje sasa wewe unataka game la kufa mtu wakati umefuga kucha ndeefu unashindwa hata kujisafisha unamkuta mdada mrembo ila chumba kinanuka papa na nguru. Unajuwa kilele kinahitaji uwanja msafi wachezaji wasafi ndiomana wadada wa tanga wakimuamulia mwanaume hatoki maana wanajuwa kuandaa mechi unakuta
Chumba kinanukia nimefukishwa udi sio ule wa kijiti al udi pili yeye mwenyewe kashauchuchumalia haswaa mwanga wa taa uwe hafifu shuka nyeupe kitandani imezunguukwa na mauwa ya asmini na bibie anapitapita kihasalahasala hajulikani anachokitafuta huku kavaa nguo ya kichokozi kama unavyojuwa wanaume tunapenda vilivyofunikwa yaan utegwe kudogo sasa hapo mdada ajipendekeze kuja kwa bedi aone balaa lake patakuwa hapatoshi.
Sio bint katoka ngomani sijui disco anakurupuka anataka afikishwe kileleni
Kaka Daffa kweli kabisa mashallah mtoto katulia.@Mama Malaika sometimes inabidi tutoleane uvivu ili tuache kulaumiana na tuelimishane kuna wengine walikuwa hawaendi hata kuwatembelea Bibi na babu wakapewa maujuzi wadada wengi wa sikuhizi wanajikuza wenyewe
Ujue miaka hii 30 imepita families nyingi zimekuwa zikifatilia watoto/vijana wao kupata elimu ili iwaandae na maisha kiasi kwamba wengi wametupilia mbali mafundisho ya kumuandaa binti au mtoto wa kiume kwa mambo ya ndani. Sana sana mtoto akipelekwa kwa bibi na babu ni kipindi tu cha likizo ya shule tena akimaliza 2wks huko ni bahati. Na kwa hao waishio jirani au pamoja na mabibi & babu sio kama vile zamani kwani mabibi/babu hawako huru na wajukuu zao kama zamani.
Kuna baadhi ya kina baba Chanja pia wana changia sana tatizo hili. Wakuta mwanaume kutwa apiga ulabu, akifika kwa mwanamke wake ataka vitu wakati hata kuunyanyua mguu kupanda kitandani shida na haoni, hapo mwanamke hajanywa anaambuliwa harufu/shombo hata hamu ya mapenzi haipo, acha kufika huko Mawenzi na Kibo. Lol....

Hahahhhahaaa Mama najua hapa unamsema Chaoga na Pascal

Mama Malaika said:

Kuna baadhi ya kina baba Chanja pia wana changia sana tatizo hili. Wakuta mwanaume kutwa apiga ulabu, akifika kwa mwanamke wake ataka vitu wakati hata kuunyanyua mguu kupanda kitandani shida na haoni, hapo mwanamke hajanywa anaambuliwa harufu/shombo hata hamu ya mapenzi haipo, acha kufika huko Mawenzi na Kibo. Lol....

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*