Tulonge

Information

MAPENZI

Mapenzi ni moja kati ya mambo yaliyo tawala sana katika ulimwengu huu kwa sasa. Hatuna budi kuchukua nafasi hii ili tuweze kubadilishana mawazo kuhusu mapenzi.

Members: 78
Latest Activity: Dec 1, 2014

Discussion Forum

Kwa nn wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa kiasi?

Started by Lilian. Last reply by david ngoiya Dec 1, 2014. 1 Reply

Kabla ya kuanza najua wale wanaume wenye vibamia watachukizwa na kuiponda mada hii. Ila huu ndiyo ukweli, wanawake tuliowengi huwa…Continue

Top reasons why men cheat

Started by Tulonge Dec 31, 2013. 0 Replies

What makes men cheat? Dr Kamal Khurana,relationship counselor, dug through past research on male infidelity, and has even counseled couples…Continue

Jinsi ya kumuandaa mpenzi wako kabla ya mechi

Started by Tulonge. Last reply by Bonielly Dec 23, 2013. 1 Reply

Kitu chochote ukitaka ukifanye ukiwa na raha,ni lazima ukiandae vizuri..Katika suala la mapenzi, watu wengi wameshindwa kufikia kilele cha…Continue

Mambo ya kuepuka baada ya kuchumbiwa

Started by Tulonge. Last reply by Bonielly Nov 27, 2013. 1 Reply

Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wake unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda…Continue

Madhara matano (5) ya kufanya mapenzi sana kupita kiasi

Started by Lilian. Last reply by Bonielly Nov 25, 2013. 4 Replies

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta…Continue

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Started by Tulonge. Last reply by Dixon Kaishozi Nov 5, 2013. 1 Reply

Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu. MaumbileViungo vya uzaziViungo vya mahusiano vya mwanamke kwa kawaida bila…Continue

Dalili 8 za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Started by Lilian. Last reply by Lilian Oct 6, 2013. 4 Replies

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko…Continue

Utafiti: Kitanda kikubwa hatari kwa ndoa yako

Started by Joan. Last reply by Mama Malaika Oct 3, 2013. 8 Replies

Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of MAPENZI to add comments!

Comment by Tulonge on June 21, 2012 at 8:46

Ndiyo nimefahamu leo kuwa kuna aina mbili ya mbegu za kiume.

1. Zenye radha ya sukari

2. Zenye radha ya chumvi

-Wataalamu wanasema bora zaidi ni zile zenye radha ya sukari,ambazo humfanya mwezi wako ajisikie raha zaidi wakati wa mechi.

-Namesikia kuna njia ya kufanya uwe na mbegu zenye radha ya sukari.Anaye fahamu njia hizo atujuze.

Comment by Bonielly on February 8, 2012 at 16:05

gratious yeye anakaribisha warembo tu,

Comment by Dixon Kaishozi on February 8, 2012 at 15:17

Wakunipokea jamani...

Comment by Gratious Kimberly on January 23, 2012 at 17:22

Georgia...karibu pitiliza hadi uhani, ndo kuna mkeka huko!  tehtehteh!!

Comment by Georgia Mushashu on January 23, 2012 at 16:13

Hodiiiiiiiiiiii mpaka ndani

Comment by Hashim Said on January 7, 2012 at 15:14

Jamani hodi hapaaa!

Comment by Agnes Nyakunga on February 23, 2011 at 10:18
karibu dada Mary
Comment by Wa Kimberly on February 22, 2011 at 22:37
haaa,kumbe kuna huku tena..........
Comment by Tulonge on February 22, 2011 at 18:09
Hahahahhahaaa mama acha kuniua bana,mimi mtoto mzr sana siku hizi.Waulize mabinti wa humu ndani watakwambia jinsi nilivyo tulia,si kama kipindi kile fbaraza teh teh teh
Comment by eddie on February 22, 2011 at 16:34

Jamani nimechungulia dirishani nikaona humu kuna vitu ambavyo kwa njia moja au ingine vinanihusu kama vile pumzi ninayovuta.

Natumaini sitahesabiwa kama ni ""gatecrasher""!

 

Members (78)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*