Tulonge

Information

MAPENZI

Mapenzi ni moja kati ya mambo yaliyo tawala sana katika ulimwengu huu kwa sasa. Hatuna budi kuchukua nafasi hii ili tuweze kubadilishana mawazo kuhusu mapenzi.

Members: 78
Latest Activity: Dec 1, 2014

Discussion Forum

Kwa nn wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa kiasi?

Started by Lilian. Last reply by david ngoiya Dec 1, 2014. 1 Reply

Kabla ya kuanza najua wale wanaume wenye vibamia watachukizwa na kuiponda mada hii. Ila huu ndiyo ukweli, wanawake tuliowengi huwa…Continue

Top reasons why men cheat

Started by Tulonge Dec 31, 2013. 0 Replies

What makes men cheat? Dr Kamal Khurana,relationship counselor, dug through past research on male infidelity, and has even counseled couples…Continue

Jinsi ya kumuandaa mpenzi wako kabla ya mechi

Started by Tulonge. Last reply by Bonielly Dec 23, 2013. 1 Reply

Kitu chochote ukitaka ukifanye ukiwa na raha,ni lazima ukiandae vizuri..Katika suala la mapenzi, watu wengi wameshindwa kufikia kilele cha…Continue

Mambo ya kuepuka baada ya kuchumbiwa

Started by Tulonge. Last reply by Bonielly Nov 27, 2013. 1 Reply

Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wake unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda…Continue

Madhara matano (5) ya kufanya mapenzi sana kupita kiasi

Started by Lilian. Last reply by Bonielly Nov 25, 2013. 4 Replies

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta…Continue

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Started by Tulonge. Last reply by Dixon Kaishozi Nov 5, 2013. 1 Reply

Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu. MaumbileViungo vya uzaziViungo vya mahusiano vya mwanamke kwa kawaida bila…Continue

Dalili 8 za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Started by Lilian. Last reply by Lilian Oct 6, 2013. 4 Replies

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko…Continue

Utafiti: Kitanda kikubwa hatari kwa ndoa yako

Started by Joan. Last reply by Mama Malaika Oct 3, 2013. 8 Replies

Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of MAPENZI to add comments!

Comment by Ramadhan Ahmard on January 13, 2011 at 19:17

Do not force love. It will come in good time—perhaps not with the person you initially want, but love definitely will
come if you are willing to share it with someone.

By Ramadhan.

Comment by Ramadhan Ahmard on January 11, 2011 at 11:17

It does not make you a bad person to desire someone Else'slove, even if they do not love you. However, to truly love someone, you must let them be free. It is selfish to blame them for your feelings.

Comment by Gadi masaki on January 8, 2011 at 16:51
lazma umuandae kwanza bwanaaaaaaaaaa
Comment by Godwin Kazimoto on January 7, 2011 at 10:19
tupo pomoja................................ I'm a new comer
Comment by LATIFA MOHAMMED on October 20, 2010 at 9:18
sio kweli na je ? ukumbuke wanawake wengine wanakina kidogo na wanakumbana na wanaume wenye size kubwa je na hao pia watoke nje ya ndoa ni ww kuridhika kukinae kushukuru na alichokubariki mungu
Comment by Agnes Nyakunga on October 20, 2010 at 8:12
Tuko pamoja kaka msuya karibu!
Comment by kadir msuya on October 19, 2010 at 23:22
ni kweli kakanyau mapenzi yanahitaji maandalizi kama vile kutomasa, romance, @kwenda chumvini(zingatia usafi hapa) sio kukurupuka tu,kama @nyege za kuku/bata bac fanya mazoezi sana, na ikishindikana unaweza
ukafanya masturbation kimoja then ukaendelea na maandalizi....lakini sio kusema
size ndogo, kubwa. hahahahaha had nothing to do in sex.
Comment by Agnes Nyakunga on October 19, 2010 at 15:55
kaka nyau sikilize mapenzi yanahitaji maandalizi unajua hata kama una size kubwa bila maandalizi yale yale tu, maana hiyo ni staili ya jogoo kampanda tetea basi. kweli umeamua kumkoleza mpenzi wako kisawasaw unafikiri ataona ndogo hiyo thubutu yake.
Comment by Bonielly on October 19, 2010 at 13:19
ukisha mtayarisha tayari yule anakua anakusubiri wewe, sawa nyau, kwahiyo yule ul;iemtayarisha anasubiri mashambulizi sasa pale ukichomeka tu, hata kama haujagusa huo ukingo unaosema yule mrembo, ha ha ha haaa ngoja nicheke kidogo lazima aongee kithungu, kama akiwa bado mbichiii atakung'ata meno, maana pale anakuwa yani umesha mvuta karibu, hivi nikuulize swali!! @nyau hujawahi kumuandaa mwenzio vya kutosha halafu ile unagusa kinanihii chako halafu yule mwenzia akashtuka, akakukuna kichwani, akakuchumu, kabla haujamkongomeka vilivyo na akakutaja jina lako? ha ha haaa tehe tehe tehe, jamani mapenzi raha tupu,
Comment by LATIFA MOHAMMED on October 18, 2010 at 11:49
do love exist
 

Members (78)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*