Tulonge

TANGAZA BIASHARA YAKO BUREEE!!

Information

TANGAZA BIASHARA YAKO BUREEE!!

Kundi hili linawapa fursa wadau wa tulonge kutangaza biashara HALALI ya vitu mbali mbali. Tumia kundi hili kujipatia faida. Kwa sasa ni BURE kutangaza biashara yako.

Members: 11
Latest Activity: Apr 11, 2014

Discussion Forum

Manufaa za kimimina cha Vemma Mangosteen.

Started by Hellen Attarsingh Gupta. Last reply by Hellen Attarsingh Gupta Apr 11, 2014. 2 Replies

Binadamu ameumbwa na Mwenyezi Mungu (Yehova) mwili wake ukiwa na uwezo wa kupambana na magonjwa mbalimbali. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, afya huzorota, kinga inashuka na magonjwa mbalimbali…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of TANGAZA BIASHARA YAKO BUREEE!! to add comments!

Comment by MGAO SIAMINI,P on December 23, 2013 at 11:24

SHAMBA LINAUZWA EKARI 1350 LIMEZUNGUKWA NA MAJI YA MTO IFUDUGA NA KIPEMBA LIKO KITONGOJI CHA LULANDA MDABULO WILAYA YA MUFINDI IRINGA. BEI POA SANA PIGA SIMU +255752160528

Comment by Tulonge on December 20, 2013 at 21:07

Dada Hellen hiyo Vemma itakua balaa sana. Yani inamuwezesha mtoto kuwa wa kwanza darasani? Nimeipenda, itabidi nikutafute

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on December 20, 2013 at 17:54

Vemma inakufaa pia upande wa kifedha. Ukijiunga na Kampuni katika kutumia na kusambaza bidhaa zao (Multi Level marketing), Kampuni itakulipa kila wiki kutegemeana na jinsi ulivyofanya kazi. Karibu tuwasiliane kwa elimu zaidi jinsi inavyofanya kazi. Imeokoa uhai wa wengi. Wahi sasa. mtoto akinywa Vemma anakuwa wa kwanza darasani, sababu akili yake itakuwa na uwezo mkubwa wa kumwelewa mwalimu na kuweka kumbukumbu.

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on December 20, 2013 at 17:51

Nawakaribisha mfaidike na kimimina cha Vemma Mangosteen. Hiki kina vitamini 12 na madini 65. Kinatoka Arizona Marekani. Kama huna ugonjwa kitarutubisha afya yako na kukupa nguvu ya kujikinga na maradhi mbalimbali. Kwa wagonjwa inatibu kabisa Kisukari, Kansa, Presha, kiharusi (Stroke), Kutokuzaa, Mkazo wa akili, kuyeyusha uvimbe usiozidi saizi ya Apple, kuimarisha mishipa ya moyo, kuondoa mafuta ya ziada mwilini, kufanya upya chembe za mwili(Unakuwa kijana zaidi), n.k. Tafadhali tembelea www.hmzengi.vemma.com. Nenda kwenye google uulize: 'benefits of Mangosteen' utapata maelezo ya wataalamu jinsi tunda hilo linavyookoa uhai. Limeongezwa kwenye kimiminahiki. Maelezo zaidi nipigie 0713 520106 au 0754 264906. Wahi, wakati ni huu.

Comment by ahmad khamis on December 20, 2013 at 17:49

"CARINA Ti FOR SALE MODEL;2001 93000KM PRICE 9,500,000TSH COLOR:SILVER PHONE:0718541095

Comment by Mama Malaika on December 20, 2013 at 17:27
Safi sana.
Comment by Tulonge on December 20, 2013 at 16:38

Pa1 wadau, inabidi muweke na contacts zenu. Halafu mkiwa mnaweka kama discussion hapo juu kwa kuclick "Add a Discussion" itakua poa zaidi. Mkifanya hivyo nitaweza kukusaidia ku-share tangazo lako kwa wadau wote wa tulonge. Pia wana tulonge wanaweza weka comments zao.

Comment by Mjata Daffa on December 20, 2013 at 16:21

MIMI nafuga na kuuza Kuku chotala nilkuwa natafuta nitaitangaza vp biashara yangu. mungu akubariki DISS kwa offer hii ngoja nikawapige picha ni kuwekeeni hapa muone ukubwa wao. 

Wanauzito wa 3KG-3.5KG ni walefu kwenda juu wapo majogoo na Makoo bei ni TZS 20,000/= Baada ya X-Mass bei itakuwa TZS 15,000/= ukitoa Order kuanzia wa wilii unaletewa hadi ulipo. DONT MISS

Comment by David Edson Mayanga on December 20, 2013 at 15:44

BADEA's is a non governmental, non political and non religious organization formed under the Societies Ordinance Act of Tanzania of 1954,

Comment by Agnes Nyakunga on December 20, 2013 at 14:55

hiyo imetulia sana haya wajasiriamali tuchangamke!

 

Members (11)

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*