Hili ni kundi la kusaidia watoto yatima.
Members: 38
Latest Activity: Jun 24, 2016
This group does not have any discussions yet.
Add a Comment
Jamani, mpoo?
Asante kwa kuniunganisha na group hili tutakuwa pamoja katika kusaidia hili.
asante kwakuni invite humu,soon nitachangia.
Ubarikiwe Mary wa Mkumbo kwa kukomaa hadi kuweza kuchangia mfuko wa watoto yatima japo upo nje ya Tanzania.
Asante ILLYA kwa kunikumbusha. Tupo pamoja.. nitafikisha mchango wango kwa muhusika..
Hamna noma Ilya
Tulonge nami natamani kukomaa siku moja nisibaki nyuma kuwachangia watoto yatima,soon nitakomaa na kujitutumua kiubinadamu,sio Obama anaeweza tu, bali hata sisi tunaweza na tunasema: 'Yes we Can'
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Mfuko wa watoto yatima to add comments!