Tulonge

BAADA YA MIAKA 9 YA UJANE,UPENDO NKONE KUOLEWA TENA MWEZI UJAO..

Muimbaji wa nyimbo za Injili(Gospel) Upendo Nkone (pichani) anatarajiwa kufunga ndoa tarehe 17 October 2010 na Mchungaji John Mbeyela ambaye pia ni mjane mwenye watoto watatu.Ndoa hiyo itafungwa katika kanisa la Naioth kwa Mchungaji Mwasota.

Kwa mujibu wa mtandao wa Strictly Gospel,ndoa hiyo inakuja baada ya miaka 9 ya kuwa mjane. Upendo Nkone tayari anazo albamu tatu kibindoni zikiwa ni Mungu Baba,Hapa Nilipo na Zipo Faida.

We wish them all the best.

Photo Courtesy of Waimbaji wa Muziki wa Injili Tanzania Photostream

Share and Enjoy:

Views: 480

Replies to This Discussion

Hongera mama kwa kufikia uamuzi huu. Kukaa peke yako bila mume ni ngumu sana. Huwezi kuzuia mihemuko ya mwili,bora uwe na mwenzi wako mridhishane.

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*