Permalink Reply by ABD on October 26, 2010 at 16:38
Huu ni mfano wa mambo ambayo yatakuwa yakipeperushwa katika kona ya vijana na mengine makali zaidi ya haya kwa wale wote wapenzi wa style hizi basi tukumbane kona ya vijana group litakuwa hewani soon na age from 18 kwenda juu only na halita kuwa public kwasababu litakuwa limebema mambo makali makali