Mtu mzima Mo Racka ambaye alijitoa kwenye kundi la Rackarz kwa sasa amerudi kwenye kundi hilo na kuungana na wenzake ambao ni Quick Rocker, Dau Racka na Chief Racka ambaye kwa sasa yuko masomoni.
Mo amesema amejisikia poa tu maana watu wameongea mengi na juzi kati walikuwa wanamalizia wimbo wao unaojulikana kwa jina la TANZANIA MONY ambao umetengenezwa na Producer Lamar kutoka Fish Crab iliyopo maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam. Kwa sasa wimbo uko tayari na soon tu utakuwa ndani ya site hii kupitia group la Wasanii wetu