Tulonge

Agent J travels in time to MIB's early years in the 1960s, to stop an alien from assassinating his friend Agent K and changing history.

Views: 576

Replies to This Discussion

Chaoga, nimekwenda kuitazama hii leo na miwani yangu.. :-)

ha ha ha kumbe ulikuwa bado hujaitazama? aisee mie na vile nilikaa viti vya mbele basi ilikuwa si mchezo . wiki hii nitaiba muda nikaangalie SNOW WHITE & THE HUNTSMAN naona iko bomba sana.

Nilikuwa sijaitazama bado.. Duh, mbele unaweza ukawa unakwepa balaa.. Uli-like ile page ya movies kwenye fb? Pale unakuwa unapata list ya movies za kila wiki.. Kama hizo hapo chini za wiki hii..

Jamani mmeona Mr Bones & Mr Bone 2: Back from the past? Huwa nikiangalia nacheka hadi machozi

Mama nawe kumbe mpenzi wqa movies...karibu

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*