This group does not have any discussions yet.
Add a Comment
jamani me napenda sana kusoma nje ya nchi bt kwa sasa mtu niliye mtegemeya kunilipiya ada ndo hivyo hawezi je kuna vyuo ambavyo vinatowwa udhaminini na cheti cha IT?
Sehemu hii itawafaa sana wasomaji wenye hasira ya kusaka maelimu,nadhani tuta-applay kwa wingi.Ili twende huko mbele tuzoe elimu kwa tabu ili baadae tuje kulia kivulini tukiijenga na kuifadisha Tanzania yetu.
thanx 4 info.
Safi sana Kunambi. Naona na page yao wameshaitoa baada ya deadline...
Last year niliambiwa kuna fund ilibakia ajili ya Africa sababu wanafunzi toka east Africa hawaku-apply wengi. Kunakuwepo na scholarships za kutosha ili mtima nyongo wa viongozi wetu ndio wawavunja moyo watu kusoma nje
Kuna hii chuo hapa napoishi wanatoa full scholarship for masters programme kwa wanafunzi toka Africa east & southern Africa hasa walioko kwenye mambo ya agriculture, food, land reform, natural resource exploitation amd management.
Ni chuo kizuri sana kwani kinasifika miaka mingi, na scholarship ya hii programme wanafunzi wengi ambao nimewaona wamekuwa wakija kusoma hapo chuoni wanatoka UNDP, IFAD, hadi serikalini (government sectors).
Angalia link hii hapa chini
http://rac.ac.uk/news/college-news/strong-support-for-africa-programme
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of NAFASI ZA KUSOMA NJE YA NCHI to add comments!