Tulonge

NAFASI ZA KUSOMA NJE YA NCHI

Information

NAFASI ZA KUSOMA NJE YA NCHI

Members: 24
Latest Activity: Feb 13, 2015

Discussion Forum

This group does not have any discussions yet.

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of NAFASI ZA KUSOMA NJE YA NCHI to add comments!

Comment by chris deol on February 16, 2013 at 8:21

jamani me napenda sana kusoma  nje ya nchi bt kwa sasa mtu niliye mtegemeya kunilipiya ada ndo hivyo hawezi  je kuna vyuo ambavyo vinatowwa udhaminini na cheti cha IT?

Comment by Sammy on December 3, 2012 at 16:33
Jamani, nawezaje pata hiyo nafac ya kwenda kusoma nje??
Comment by KUNAMBI Jr on July 2, 2012 at 16:05
Comment by ILYA on January 24, 2012 at 16:09

Sehemu hii itawafaa sana wasomaji wenye hasira ya kusaka maelimu,nadhani tuta-applay kwa wingi.Ili twende huko mbele tuzoe elimu kwa tabu ili baadae tuje kulia kivulini tukiijenga na kuifadisha Tanzania yetu.

Comment by Christer on January 23, 2012 at 20:37

thanx 4 info.

Comment by KUNAMBI Jr on January 14, 2012 at 13:54

Jaman msimu wa Application umefika haya sasa changamkeni na hiyo link hapo.

https://www.admissions.fi/vierashaku/prod_index.html

Comment by KUNAMBI Jr on May 25, 2011 at 15:12
Mama Malaika umekimbia,uko wapi?mbona kimya sana,I need some info can u assist me?
Comment by Mama Malaika on March 11, 2011 at 15:47

Safi sana Kunambi. Naona na page yao wameshaitoa baada ya deadline...

Last year niliambiwa kuna fund ilibakia ajili ya Africa sababu wanafunzi toka east Africa hawaku-apply wengi. Kunakuwepo na scholarships za kutosha ili mtima nyongo wa viongozi wetu ndio wawavunja moyo watu kusoma nje

Comment by KUNAMBI Jr on March 11, 2011 at 14:33
mama malaika thnx for the info,me niliapply wamenipigia cm leo
Comment by Mama Malaika on February 21, 2011 at 15:26

Kuna hii chuo hapa napoishi wanatoa full scholarship for masters programme kwa wanafunzi toka Africa east & southern Africa hasa walioko kwenye mambo ya agriculture, food, land reform, natural resource exploitation amd management. 

Ni chuo kizuri sana kwani kinasifika miaka mingi, na scholarship ya hii programme wanafunzi wengi ambao nimewaona wamekuwa wakija kusoma hapo chuoni wanatoka UNDP, IFAD, hadi serikalini (government sectors).

Angalia link hii hapa chini

http://rac.ac.uk/news/college-news/strong-support-for-africa-programme

 

 

Members (24)

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*