Tulonge

Information

Tiba Mbadala

Karibuni wadau wote kwenye kundi hili muhimu kuhusu tiba na afya zetu. Mnakaribishwa kuchangia na kubadirishana mawazao kuhusu Tiba Mbadala iwe kuhusu toka kwenye mimea, viungo, chakula, matunda, vinywaji, wadudu, n.k.

Tiba Mbadala yatumika dunia nzima. Hata waingereza walogundua antibiotic na dawa nyingine nyingi bado wana thamini na kuendeleza Tiba Mbadala (e.g. vitunguu swaumu kwa High Blood Pressure na moyo mkubwa).

 

Iwapo mtu amepata article yeyote kuhusu Tiba Mbadala pahala naomba sana atuwekee hapo chini kwenye Discussion Forum (add a forum). Hata kama ni ya kiingereza hakuna mashaka.

Members: 36
Latest Activity: Nov 21, 2014

 

Discussion Forum

Faida 12 za ulaji wa machungwa kwa binadamu

Started by Tulonge. Last reply by Mama Malaika Jan 20, 2014. 2 Replies

Kumbuka kuwa hata chungwa moja tuukila lina kidhi yale mahitaji muhimu ya mwili ya kila siku (dailyrequirement), iwe chungwa lenyewe…Continue

Tunda la Ndizi ni Dawa Kubwa

Started by Mama Malaika Nov 20, 2013. 0 Replies

Bananas contain three natural sugars – sucrose, fructose and glucose combined with fiber. A banana gives an instant, sustained and…Continue

Jikinge na Kansa kwa Kula Vyakula Asilia

Started by Tulonge. Last reply by Dixon Kaishozi Oct 28, 2013. 3 Replies

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali duniani, ugonjwa wa kansa unatajwa kuwa ndio ugonjwa wa hatari zaidi pengine kuliko ugonjwa mwingine wowote uliowahi kutokea katika historia ya mwanadamu. Nchini Tanzania pekee kiasi cha watu 100 hufariki dunia KILA…Continue

Tunda La Nazi Na Faida Zake

Started by Mama Malaika. Last reply by Regina Lipyana Haule Oct 22, 2013. 1 Reply

Watafiti wanasema kuwa mafuta ya nazi na nazi tunayokula kwenye vyakula yanasaidia mwili wetu kuwa nguvu ya kupigana na wadudu wanaosababisha magonjwa. Na zaidi zaidi yasaidia ku ulinda mwili na fungus (including yeast and candida).Na zaidi ya yote,…Continue

Zijue faida za Tangawizi kwa afya ya mwili wako

Started by Tulonge Oct 8, 2013. 0 Replies

Tangawizi    ina  faida  nyingi  sana  kwa  mwili  wa  mwanadamu. Baadhi  ya  faida hizo  ni  kama  ifuatavyo :1. Kutibu kutokusagika kwa…Continue

Mwandishi Freddy Macha akieleza faida za tunda Parachichi

Started by Tulonge. Last reply by Mama Malaika Sep 28, 2013. 2 Replies

Mwandishi Freddy Macha anafafanua faida nyingi sana za tunda ambalo wengi hatulipi hadhi yake kama inavyostahili.Video na Hakingowi BlogContinue

Fahamu jinsi ya kutumia maji kama tiba-2

Started by Tulonge. Last reply by Mama Malaika Sep 28, 2013. 2 Replies

Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho kuhusu unywaji wa maji kama tiba mbadala ya maradhi mbalimbali.  Tafadhali endelea kusoma ili  kujua namna…Continue

Maajabu kumi ya tango kiafya

Started by Tulonge. Last reply by Mama Malaika Sep 28, 2013. 2 Replies

Hawakukosea wale waliosema  kuwa mboga za majani na matunda ni kinga kwa afya yako.  Matunda mengi yana manufaa lakini tango tunasema limetia…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Tiba Mbadala to add comments!

Comment by Mama Malaika on May 21, 2013 at 17:25

Mama Manka ama kweli wewe ni muhimu sana humu ndani. Nimepata mengi kusoma hapo chini.

Haya Bonielly kazi kwako huna haja ya kununua Viagra. Teh teh teh....

Comment by manka on May 14, 2013 at 15:33

karibu @Bonieli,  ndiyo raha ya kuishi na bibi. pia waweza ongeza  maujanja ya sita kwa sita kwa kutumia mdalasini na asali mbichi atii!!! CHANGANYA KIJIKO  KIMOJA CHA MDALASINI, VIJIKO VIWILI VYA ASALI KWENYE MAJI BILAURI MOJA NUSU SAA KABLA YA KIFUNGUA KINYWA NA JIONI VILE VILE,  HII HUSAIDIA PIA KUTONENEPEANA HOVYO NA HUAMSHA ASHKI KWA WANAUME NA WANAWAKE., WAWEZA TUMIA KILA SIKU HAINA MADHARA.

Comment by Bonielly on May 14, 2013 at 15:12

manka nitakutafuta mtani, nipate faida nyingi zaidi,,,

Comment by manka on May 14, 2013 at 15:05

      IKUMBUKWE KUWA TIBA MBADALA UTIBU POLEPOLE HIVYO NI VYEMA KUTUMIA BILA KUKATISHA KATISHA DOZI.

Comment by manka on May 14, 2013 at 15:00

                   NDEVU ZA MAHINDI.

ZINATIBU:  FIGO,KIBOFU CHA MKOJO, INASAIDIA KWA WALE WANAVIMBA MIGUU,  SHIDA YA KUKOJOA HASWA KWA WANAUME WAZEE, NA WATOTO WANAOKOJOA KITANDANI.

 

                        MATAYARISHO:

Chukua ndevu za mahindi za kutosha, chemsha katika majiya lita mbili, loweka kwa dakika 15 , chuja, kunywa glasi mbili kila siku kwa siku tano(5).

Comment by manka on May 14, 2013 at 14:52

KITUNGUU SWAUMU TIBA YA CHUNUSI, KIPINDUPINDU, KUHARA DAMU ASTHMA, MALARIA,  KUFUNGA CHOO NA MENGINEYO,

       UTAYARISHAJI WA KITUNGUU SWAUMU.

Chukua punje sita ( 6) mpaka saba(7) baada ya kuvimenya katakata saizi ya vidonge vimeze kwa maziwa ya moto au maji mara tatu kwa siku kwa muda wa siku kumi na nne. hii ni kwa matibabu ya MALARIA. Kwa magonjwa mengine vimeze kwa muda mrefu  hutibu kama chakula.

 

Comment by Mama Malaika on February 26, 2013 at 17:35

Asante sana Hamidu

Comment by Tulonge on February 25, 2013 at 22:43

Umesomeka Hamidu, thanks

Comment by HAMIDU URASSA on February 25, 2013 at 21:21

DAWA YA MALARIA:Chukua majani ya mpapai yale ya  mwishoni viganja 2, magome ya mbuyu 1kg, majani ya mchungwa viganja 2, majani ya mwembe viganja 2, majani ya ndimu viganja 2 na maji lt3 changanya kisha chemsha dk15. kunywa kila baada ya masaa 2 glas 1kwa muda wa siku 4. hii ni dawa tosha ya malaria ndugu zangu achaneni na madaw yenye kemikali yana mazara baadaye.

Comment by CAESAR KIHORO on February 25, 2013 at 17:38

LOOK INTO YOUR HEALTH

Many years back, human didn't have health problems as experienced today. Man was faithful, honest and believed in GOD'S CREATION.
Today as for the new technologies and revolutions, human health is tremendously affected. We find that human body is bombareded  by so many free radicals caused by the pollution and hence cause unnatural deaths.
In the HEALTH AND WELLNESS INDUSTRY, everybody is trying to do anything to get good health but it has been ruined by those focusing on CREATING WEALTH BY LIES, in the industry.  There are so many companies that are producing alternative treatment and making supplements.
ACCORDING TO RESEARCH AND STUDIES, SUPPLEMENTS ARE VERY VITAL TO HUMAN HEALTH.
Uneducated consumers are at risk from two sides. 1. Consumer knows they should supplement but doesn't know how to select an effective supplement, therefore wastes their money, time and health. 2. Consumer is uninformed (or given bad advice) on the need to supplement and sacrifices their health.
STUDIES HAVE PROVED THERE ARE THREE TYPES OF SUPPLEMENTS.
1. EFFECTIVE  supplements- these are in liquid form for bioavailability 9body ready)
                                             -they are natural-extracted from plants.
                                             -they contain the right proportion combination of vitamins, minerals and
                                               antioxidants (in one product)
                                             -they give a guarantee.
2.INEFFECTIVE supplements-are either in liquid or solid forms
                                               -some are created in laboratories but some extracted from plants.
                                               -mostly they don't have the right combination standards of vitamins and
                                                 minerals needed by the body. They have variety of products.
3.HAZARDOUS supplements- they are mainly in form of Tablets, Capsules and Powders. Most of them don't dissolved and hence cause problems in the body. They have different varieties of products hence not easy to get the right minerals and vitamins. Most of them are created in laboratories.QUESTION? WHERE DO YOU THINK GALL STONES AND KIDNEY STONES COME FROM AND MANY OTHER COMPLICATIONS?

AFTER A GREAT STUDY, YOU NEED TO MAKE THE RIGHT CHOICE  WHEN DECIDING THE SUPPLEMENTS YOUR BODY DESERVES. THERE IS ONLY ONE COMPANY WITH CLINICAL STUDIES AND HAS THE RIGHT PRODUCTS TO USE FOR THE RIGHT PEOPLE WITH THE RIGHT REASONS.

http://www.besmart.vemma.com
 

Members (36)

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*