Tulonge

Ukimwi Ni Nomaa

Information

Ukimwi Ni Nomaa

Hapa Tuna weza kuelimishana juu ya ukimwi na mengine mengi ya zinaa.tujuika pamoja

Location: Around the World
Members: 20
Latest Activity: Nov 11, 2011

Discussion Forum

NI WAKATI WA UKWELI NA UWAZI ... !

Started by ABD. Last reply by Alfan Mlali Jan 24, 2011. 3 Replies

Je nikweli ule usemi ulioenea bongo kwa miaka kazaa iliyo pita na mpaka sasa watu wengine bado wanautumia usemi wenyewe ni ALIE  SHIBA ANAMUAMBUKIZA MWENYE NJAA? (Tajiri humuambukiza  maskini) AU NA…Continue

MASIKINI MTOTO HAPPY

Started by ABD. Last reply by Tulonge Dec 29, 2010. 2 Replies

MASIKINI MTOTO HAPPY AKIWA NA MSHUMAA WAKE AKIWAPELEKEA WATU WENGINE NAO WAWASHE…Continue

UNYANYAPAA NA KUTENGWA KWA WENYE UKIMWI

Started by ABD Dec 27, 2010. 0 Replies

Kunyanyapaa na kutenga imegundulika kuwa ni suala la dunia nzima linatokea kila sehemu duniani kote.Unyanyapaa unaongezeka na kuwa suala nyeti sana katika ugumu wa kusema juu ya UKIMWI.Hata hivyo kwa…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Ukimwi Ni Nomaa to add comments!

Comment by Mama Malaika on February 21, 2011 at 15:45
Nimeona tatizo hili la kunyanyapaa wagonjwa litamaridhika tu iwapo kutakuwa na elimu yatolewa kwa watu ambao wana ndugu/jamaa walioathirika na ukimwi. Na pia serikali yapasa kupitisha sheria (ingawa viongozi wa serikali na makampuni ya umma wanaongoza kwa tabia chafu ya uzinzi) ya kuwa iwapo mtu yuko HIV+ na anafanya urafiki na watu lazima awaambie kuwa yeye ni muathrika, iwapo anatembea na watu bila kuwataarifu yapasa afungwe jela maana hapa UK kuna sheria hiyo toka zamani ndio maana maambukizi si mengi kwao weupe. Tanzania watu wanafanya makusudi wakuta baba zima linajijua liko HIV+ linatembea na mabinti wa shule, hata kama binti wa shule ana miaka kuzidi 18 yapasa alindwe na sheria. La sivyo sub-Sahara Africa watu watakwisha wote
Comment by Mama Malaika on February 21, 2011 at 15:35
Alfan unaona ulivyo laghai, leo nimekubamba huku. Na huo ukwe ndio mwisho na mwanangu humpati
Comment by Ramadhan Ahmard on January 11, 2011 at 11:03
Itawezekana kama hatutaendekeza tamaa za fis i
stop aids
Comment by Mtemi on December 31, 2010 at 6:12
Asante best tujilinde na kuwalinda wenzetu jamn
Comment by Severin on December 30, 2010 at 21:55
Pamoko kwa sana
Comment by ABD on December 30, 2010 at 11:31
Hehehe wale nawaleta fresh wamesha pimwa na madaktari bingwa duniani kote .... ile wewe Alfani a.k.a mpenda vyawatu ni nomaa ni mara mia uchukue utumie vizuri lakini wewe umtumiaji rafu sana
Comment by Agnes Nyakunga on December 30, 2010 at 9:29
halafu mkwe wangu unanisikitisha sasa nitaogopa hata kukupa mwanangu
Comment by Alfan Mlali on December 30, 2010 at 9:04

HAhahahahahahahaha! Mimi najali jamani....Agnes usimsikilize ABD ana chuki binafsi na mimi.

ABD hilo box ilitakiwa uanze kujichongea wewe kwanza maana na vile vifaa vyako si mchezo!

Comment by DEUSDEDITH KALIBA on December 30, 2010 at 8:05

 Habari za asubuhi wanatulonge, itakuwa ngumu kuumaliza unyanyapaa kwa wagonjwa wa ukimwi kwa sababu hakuna elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusu maambukizi na ukimwi wenyewe, mpangaji anadiriki kuhama chumba kisa mwenye nyumba ana ukimwi inatisha jamani,

  Nchi kama India waathiraka wametengewa maeneo ya kuishi.

Comment by DEUSDEDITH KALIBA on December 29, 2010 at 18:48

Unyanyapapaa na ubaguzi kwa wagonjwa wa ukimwi ndio chanzo cha watu kutojitangaza kwenye jamii, ndio maana imekuwa si rahisi kupunguza maambukizi ya virus vya ukimwi, muathirika akishajijua anao ndio kabisaa anaongeza mashambulizi...

 

Members (20)

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*