Ina sikitisha sana kuona watu wengi wamekua wakifanya ngono ni moja ya starehe kubwa kwao na kufanya kushea mapenzi na watu mbalil mbali huku na kule na watu wengi wenye tabia kama hiyo daima mwisho wake inakua ni kuambuli magojwa mabali mbali ya zinaa na ukimwi ikiwa ni moja wapo,sio kama namanisha wenye ukimwi wote ni wazinzi laa,wapo wao ambukizwa na wazazi au wale kupitia viaa vya ncha kali na mengineyo.
kwa sasa gonjwa hili limekuwa ni tatizo kubwa hapa duniani na itakuwa vyema kama na sisi kama wadau wa tulonge tukionyesha nguvu zetu kupiga vita ugonjwa huu ..... kumbuka hili ni gonjwa letu sote
regards
ABD
Tags:
Mmmh! ebana hii inasikitisha. Inabidi kuwa makini sana.
Mmmh! ebana hii inasikitisha. Inabidi kuwa makini sana.
Duuuu hii inatisha sana, lakini sijui mungu alituumba vipi maanake hatukawii kusahau hata kama ikitokea kwa ndugu hata jamaa wa karibu kufariki kwa ugonjwa huu baada ya siku mbili tu tulisha sahau tunaendelea na ule mchezo. Naomba Mungu atuepushe na janga hili.
Doh! wanangu hii ni noma haka kagonjwa kamekaa pabaya sijui tupakate?! maana pala penyewe panapotuponza
padogoo ila! mmh! nafikiri tunapaswa kuacha kunywa pombe kupita kiasi maana nayo inasababisha muda mwengine ufanye mambo ya ajabu umm pia tuache kufanya ngono zembe dah! me sitaki tena mambo yenyewe ndio haya?!.

© 2023 Created by Tulonge.
Powered by