MASIKINI MTOTO HAPPY AKIWA NA MSHUMAA WAKE AKIWAPELEKEA WATU WENGINE NAO WAWASHE KUONYESHA ISHARA YA UPENDO KWAKE NA KUWAKUMBUKA WALIOKUFA KWA UKIMWI DUNIANI MDAU NIKIWA NA MPENDWA WANGU HAPPY.MUNGU ATAKUTANGULIA MDOGO WANGU TUPO PAMOJ.USIKATE TAMAA NA USISAHAU, HAPA TUKO NA Ms. LULU AMBAE NI MENEJA MIRADI WA SPW TANZANIA HUYU NDIYE MPENDWA HAPPY NA MSHUMAA WAKE MUHESHIMIWA RAISI WA MZUMBE KAMPASI YA MBEYA NA MSHUMAA WAKE.
UKIMWI NI WETU SOTE,WANAO ISHI NA UKIMWI NI NDUGU ZETU,TUSIWANYAPAE NA WALA TUSIWATENGE.