Je nikweli ule usemi ulioenea bongo kwa miaka kazaa iliyo pita na mpaka sasa watu wengine bado wanautumia usemi wenyewe ni ALIE SHIBA ANAMUAMBUKIZA MWENYE NJAA? (Tajiri humuambukiza maskini) AU NA SISI MASKINI SOME TIME HUWA TUNA HILA ZETU?
maskini hila anayo kwa nini nasema hivyo wewe maskini waenda kuganga njaa yako huko ukifanikiwa waja kumridhisha huyu maskini pia nasi maskini tuna hila, maana huo ni mzunguko tu.
Njaa za masikini ndizo zinamfanya akubali kila anachoambiwa na tajiri kwani anajua atapata walau mlowa siku mbili tatu!!Tajiri anautumia udhaifu huo kufanya chochote kile ili mradi pesa ipo!