Tulonge

Ukimwi Ni Nomaa

Information

Ukimwi Ni Nomaa

Hapa Tuna weza kuelimishana juu ya ukimwi na mengine mengi ya zinaa.tujuika pamoja

Location: Around the World
Members: 20
Latest Activity: Nov 11, 2011

Discussion Forum

NI WAKATI WA UKWELI NA UWAZI ... !

Started by ABD. Last reply by Alfan Mlali Jan 24, 2011. 3 Replies

Je nikweli ule usemi ulioenea bongo kwa miaka kazaa iliyo pita na mpaka sasa watu wengine bado wanautumia usemi wenyewe ni ALIE  SHIBA ANAMUAMBUKIZA MWENYE NJAA? (Tajiri humuambukiza  maskini) AU NA…Continue

MASIKINI MTOTO HAPPY

Started by ABD. Last reply by Tulonge Dec 29, 2010. 2 Replies

MASIKINI MTOTO HAPPY AKIWA NA MSHUMAA WAKE AKIWAPELEKEA WATU WENGINE NAO WAWASHE…Continue

UNYANYAPAA NA KUTENGWA KWA WENYE UKIMWI

Started by ABD Dec 27, 2010. 0 Replies

Kunyanyapaa na kutenga imegundulika kuwa ni suala la dunia nzima linatokea kila sehemu duniani kote.Unyanyapaa unaongezeka na kuwa suala nyeti sana katika ugumu wa kusema juu ya UKIMWI.Hata hivyo kwa…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Ukimwi Ni Nomaa to add comments!

Comment by Agnes Nyakunga on December 29, 2010 at 10:08
mbona nalijua hilo kuwa ALfani hajali kabisa, tena akipita mchina kama alikuwa anaendesha gari anapaki pembeni kabisa ha hah ha haaaaaaaa
Comment by ABD on December 28, 2010 at 17:08

 

 

 

 

 

Alfani nisha kufanyia oda la box moja kama hili lakini Dismas na Geogre yao yako njia siku yoyote tutayapokea

......WADAU TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA???????????????????????

 

Comment by ABD on December 28, 2010 at 16:59
Sis Agness Alfani huyo inabidi tumuweke kikao maana anaonyesha hajali jana alikuwa ananiambi eti kama akipata eti itakuwa imeandikwa na mungu wakati mungu alituhusia kuwa jisaidie nami nikusaidie
Comment by ABD on December 28, 2010 at 16:57
Alfani unajali kweli ndugu yangu au unatuchimba mkwala tu ?
Comment by Agnes Nyakunga on December 28, 2010 at 8:51
mimi najali, usipojali utaishia pabaya
Comment by Alfan Mlali on December 27, 2010 at 16:03

Tuko Pamoja mkuu!

Mimi najali wewe je??

Comment by Agnes Nyakunga on December 27, 2010 at 14:06
ni kweli hili ni janga kubwa ambalo kila mmoja linamgusa sioni kama kuna sababu itakayofanya tulikalie kimya, tuko pamoja @ Dis & Abd
Comment by ABD on December 27, 2010 at 14:00
thanks sana kwa ujumbe wako sister agne na kuonyesha ushirikia mkubwa sana na kunipa sapport ktk magroup ninayo yanzisha shukrani sana sister ubarikiwe.pia shukrani kwako mkuu mr tulonge kwa kujiunga na group hili please hii ni ya kwawadau wote tuhamasishane yoyote mwnye ushauri wowote anaweza kuanzisha discussion sii lazima iwe na picha hata kwa maneno yako matamu na ushauri wako .P1
Comment by ABD on December 27, 2010 at 13:56
Thanks mkuu tupo pamoja kama kuli ile tunaoyo itumia ktk msg zetu sasa mimi naionyesha kwa vitendo@Dis
Comment by Tulonge on December 27, 2010 at 13:44
Pa1 sana mkuu,naona wadau wote tulikuwa tumeuchuna kuhusu ishu ya ukimwi. Thanx kwa kuanzisha kundi hili. 2po pa1
 

Members (20)

 
 
 

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*