Tulonge

Ukimwi Ni Nomaa

Information

Ukimwi Ni Nomaa

Hapa Tuna weza kuelimishana juu ya ukimwi na mengine mengi ya zinaa.tujuika pamoja

Location: Around the World
Members: 20
Latest Activity: Nov 11, 2011

Discussion Forum

NI WAKATI WA UKWELI NA UWAZI ... !

Started by ABD. Last reply by Alfan Mlali Jan 24, 2011. 3 Replies

Je nikweli ule usemi ulioenea bongo kwa miaka kazaa iliyo pita na mpaka sasa watu wengine bado wanautumia usemi wenyewe ni ALIE  SHIBA ANAMUAMBUKIZA MWENYE NJAA? (Tajiri humuambukiza  maskini) AU NA…Continue

MASIKINI MTOTO HAPPY

Started by ABD. Last reply by Tulonge Dec 29, 2010. 2 Replies

MASIKINI MTOTO HAPPY AKIWA NA MSHUMAA WAKE AKIWAPELEKEA WATU WENGINE NAO WAWASHE…Continue

UNYANYAPAA NA KUTENGWA KWA WENYE UKIMWI

Started by ABD Dec 27, 2010. 0 Replies

Kunyanyapaa na kutenga imegundulika kuwa ni suala la dunia nzima linatokea kila sehemu duniani kote.Unyanyapaa unaongezeka na kuwa suala nyeti sana katika ugumu wa kusema juu ya UKIMWI.Hata hivyo kwa…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Ukimwi Ni Nomaa to add comments!

Comment by Agnes Nyakunga on December 27, 2010 at 13:34
unajua kuwatenga au kuwanyapaa walioathirika tuna wapa wakati mgumu sana tayari akinyanyapariwa anajua ashakuwa mfu jamani tujitahidi kuwapenda waathirika hili janga si la mmoja leo kwa mwenzako kesho kwako
 

Members (20)

 
 
 

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*