Tulonge

Information

UKUMBI WA KISLAMU

karibuni wakubwa kwa wadogo ili tujifahamishe mambo ya duniani na kesho kesho akhera bila ubaguzi uwe muislamu ama mkiristo sote ni ndugu kutoka kwa ADAM na HAWA, KARIBUNI

Members: 24
Latest Activity: Feb 27, 2013

Discussion Forum

SHAHADA KTK UISLAMU

Started by riziki matitu. Last reply by Alfan Mlali Mar 15, 2011. 3 Replies

  Assallam Allaykum ya hikhwatu fi Llah!Baada ya kuangalia mada ya msingi leo naomba nitoe kwa uchache maana ya Shahada nanyi mchangie humo.Shahada kwa minajiri ya dini ya kiislamu ni kushuhudia kwa…Continue

IJUMA KAREEM

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Ramadhan Ahmard Jan 21, 2011. 3 Replies

Sheikh Salih Al-Munajjid says:“A woman changing her family name to that of her husband after she gets married is Haraam and is not allowed in Sharee’ah, because it is not permissible for anyone to…Continue

TIPS FOR THE MUSLIM WOMAN & HER HOME

Started by LATIFA MOHAMMED. Last reply by Alfan Mlali Jan 15, 2011. 2 Replies

IJUMMA KAREEM

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of UKUMBI WA KISLAMU to add comments!

Comment by hassan damnan on December 18, 2012 at 8:22

Comment by hassan damnan on February 15, 2011 at 10:42
asalam alaikum ndugu zangu ntaraji nyote muko salama na mwasukuma gurudumu la maisha vizuri mie napitia kuwamkia tu nasema mbona kimya kimezidi tupeni mafunzo ya dini
Comment by hassan damnan on January 17, 2011 at 16:18
HEBU TUELEZE KAKA AWADH UKO VIPI MFUMO WA KIKRISTO
Comment by Awadh Salum on January 17, 2011 at 14:41
jE? JAMII UNAFAHAMU MFUMO KRISTO, ULIOPO TZ? AU WW UNAUELEWA GANI JUU YA HILIII?
Comment by hassan damnan on January 13, 2011 at 8:51
walaikum salam kaka alfani nawe uwe na siku njema
Comment by Alfan Mlali on January 13, 2011 at 8:46

Assalaam alaykum!

Kwema hapa?

Nawatakia siku njema wote!

Comment by Ramadhan Ahmard on January 12, 2011 at 19:39
"ADHKURUUNIY ADH'KUR KUM WASH'KURUU LIY WALAA TAKFURUUN"
Comment by Ramadhan Ahmard on January 11, 2011 at 10:56

Bismillaah Rahmaan Raheem

Qaala Llaahu ta'alaa:

''wamaa khalaqtul Jinnu wal Insu illaa liya'buduuni''

Comment by Ramadhan Ahmard on January 11, 2011 at 10:48
Assalaamu Alaykum!
Comment by hassan damnan on October 6, 2010 at 8:54
asalam alaikum ndugu zangu wapendwa ni muda mrefu hatujapata mawaidha yenu ukumbi umekuwa mkimya sana tupeni mafunzo ya dini
 

Members (24)

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*