Ili kuweza kujiletea maendeleo, ni wajibu wa kila kijana kuweza k uwajibika kila mmoja kwa nafasi yake ili kuweza kujiletea fifa nzuri. Hebu tuwajibikeni kama vijana na tunaofukuzana na ushindani wa sayansi na Teknolojia ili tuweze kufikia malengo yetu
Location: Tanzania
Members: 9
Latest Activity: Jun 20, 2015
Started by Benedict. Last reply by Christer May 19, 2014. 1 Reply 2 Likes
Kijana mwenzenu natafuta mbia wa kufanya naye biashara ya ukamuaji na uuzaji wa mafuta ya alizeti. Mashine za kukamua zipo, ghala ya kuhifadhia mazao lipo, mbia anatakiwa kuwa na mtaji wa kununua…Continue
Started by Danson Rioba. Last reply by Diana May 18, 2014. 1 Reply 1 Like
Jamani hebu leo tuzungumze kuhusu hili kwamba hua ni kitu gani hasa kinachohitajika kuwa nacho ili kuingia kwenye mahusiano ya uchumba? Hii imetokana na baadhi ya vijana kuogopa kuingia katika…Continue
Add a Comment
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Vijana na Maendeleo to add comments!