Kijana mwenzenu natafuta mbia wa kufanya naye biashara ya ukamuaji na uuzaji wa mafuta ya alizeti. Mashine za kukamua zipo, ghala ya kuhifadhia mazao lipo, mbia anatakiwa kuwa na mtaji wa kununua alizeti. Soko la mafuta pia lipo.
Aliyetayari kuingia kwenye ubia apige simu O655769699 au atume ujumbe wake kupitia barua pepe bkillagane@yahoo.com
Kijana mwenzenu
Sukuru