Jamani hebu leo tuzungumze kuhusu hili kwamba hua ni kitu gani hasa kinachohitajika kuwa nacho ili kuingia kwenye mahusiano ya uchumba? Hii imetokana na baadhi ya vijana kuogopa kuingia katika mahusiano na hasa Uchumba kwa kuhofia mambo mbali mbali yakiwemo masuala ya kuhitaji kupata vitu fulani ili kuweza kuoa au kuolewa. Karibuni katika mjadala wetu.