Tulonge

Ni kitu gani hasa kinachotakiwa kuandaliwa kwa kijana kabla ya kuwa na mchumba

Jamani hebu leo tuzungumze kuhusu hili kwamba hua ni kitu gani hasa kinachohitajika kuwa nacho ili kuingia kwenye mahusiano ya uchumba? Hii imetokana na baadhi ya vijana kuogopa kuingia katika mahusiano na hasa Uchumba kwa kuhofia mambo mbali mbali yakiwemo masuala ya kuhitaji kupata vitu fulani ili kuweza kuoa au kuolewa. Karibuni katika mjadala wetu.

Views: 568

Attachments:

Replies to This Discussion

Uchumba unaweza uanza wakati wowote. Si lazima ujiandae. Uchumba c ndoa. Ukitaka kuoa ndo itabidi ujiandae

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*