Tulonge

Vijana na Maendeleo

Yapo mambo mengi sana ya kuweza kujifunza kama vijana na pia zipo hatua mbali mbali za kuweza kupitia sisi kama vijana ili kuweza kufikia malengo yetu na kuweza kujipatia maendeleo! Karibu ewe kijana mwenzangu tushirikiane katika kujadili mada mbali mbali kuhusu vijana.

Add a Comment

You need to be a member of Vijana na Maendeleo to add comments!

Comment by LUGANO MWAKATOBE on June 20, 2015 at 9:32

watu wengi huishi kwakutegemea sana msada wa wazazi ua ndugu mambo haya yamekuwa yakituludsha nyuma sisi kama vijana tunapaswa kuwa wabunifu kiasi ambacho watu wengine wangetamani kuiga mfano wako tupende ibd badara ya mambo maovu uchochezi ghasia badala yake tuongeze nguvu ya mapambano ya maisha

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*