WADAU WA TULONGE SASA NI MUDA WA KUJADILI KWA UPANDE WETU WA VIJANA NN KIFANYIKE KTK KUHAKIKISHA TUNAPATA MAENDELEO???NA TUHAKIKISHE IFIKAPO MWAKA 2020 VIJANA WAWE 80% YA WABUNGE HUKO MJENGONI
Members: 16
Latest Activity: Mar 3, 2013
Started by Tulonge. Last reply by KUNAMBI Jr Jan 2, 2011. 8 Replies 0 Likes
Pamoja na kutumia "social networks" kama Tulonge kwa nia ya kujuana na kuchangamshana vile vile tunatakiwa kuanza kuzitumia kwa shunghuli za kimaendeleo zaidi. Nadhani itakua ni jambo la maana sana…Continue
Started by Silas A. Ntiyamila Nov 27, 2010. 0 Replies 0 Likes
Vijana yatupasa tujitambue kwanza katika mazingira tuliyonayo ndipo tutajiletea maendeleo bila kipingamizi, kwa sasa vijana wengi hatujitambui ndo maana tunatafuta njia mbadala za kutafuta suluhisho…Continue
Add a Comment
Nimeamua kujiunga nami humu niweze kutoa maoni yangu. Kusema kweli vijana ni wenye nguvu na ni rahisi kuleta maendeleo. Lakini vijana wengi siku hizi au kwa kawaida ya watanzania wengi ni porojo tu. Yaani utaweza kuona mtu anatoa mapendekezo ambayo yanavutia sana na kutoa imani kwa watu kwamba yanafaa...lakini utekelezaji ni hovyo kabisa.......
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of VIJANA NA MENDELEO to add comments!