Q-Chillah ameachia ngoma yake mpya iitwayo Dreamer,ambayo Producer Bob Junior toka SharoBaro Records amehusika na mautundu humo ndani.Kwa sasa yuko chini ya Dida Facion mjasiriamali mtanzania anayeishi nchini Uingereza na amepania kufanya makubwa akiwa na Q-Chillah na kwa sasa anamuandalia ma-Showz kadhaa Europe