First lady wa kwa hivi sasa yuko masomoni pale Chuo cha Ustawi wa Jamii akiwa anasomea Degree ya Human Resorce. Roseline anayetesa na kibao chake kinachoitwa NIMEKUCHAGUA amesema anatakuwa anakwenda mdogo mdogo ili aweze kubalance ule msemo unaosema mshika mawili moja humponyoka.