Tulonge

MAPENZI Discussions (45)

← Back to MAPENZI
Discussions Replies Latest Activity

Susan: “Sijawahi kufikia kilele cha tendo la ndoa. Navumilia tu...”

KUNA kitu kimoja tu ambacho Susan* anatamani maishani mwake. Sio pesa, sio gari wala si vipondozi, bali ni kupata burudani tosha ya mapenzi…

Started by Tulonge

13 Sep 22, 2013
Reply by Omary

Wanaume wapeni dozi za nguvu wanawake zenu wafike kileleni

Nasikitisha na kushangaza,unakutana na Msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze Mapenzi akiwa na Miaka 19 hakuna Mwanaume yoyote amew…

Started by Moreen

12 Sep 20, 2013
Reply by Tulonge

Saikolojia ya wanawake kuchagua mwenza inachekesha sana…!

Ukichekewa na mashosti wake kama hivi, basi ujue umelamba dume.......! Wanasaikolojia wakiongozwa na mwanasaikolojia Benedict Jones wamegun…

Started by Tulonge

4 Sep 5, 2013
Reply by Alfan Mlali

Hii ni muhimu kwa wadada ambao hawajaolewa na wanapenda maisha ya ndoa

-Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.-Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.-Usiolewe sababu umemaliza chuo,…

Started by Tulonge

2 Aug 8, 2013
Reply by jacquerin gideon makoyola

Zijue sifa za Mwanamke wa kuoa

Leo tuzungumazie juu ya aina ya wanawake ambao wanaume wengi hupendelea kuoa. Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuk…

Started by Tulonge

3 Aug 6, 2013
Reply by Tulonge

Sehemu 12 zinazompa raha mwanamke katika mapenzi

Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwaupande wa bin…

Started by Tulonge

6 Jul 29, 2013
Reply by Remmy Combez

Wanawake hupenda kufanya mapenzi jumamosi saa 5 usiku

Utafiti mpya na wa kina kabnisa umeonesha kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku kila Jumamosi.    Kw…

Started by Tulonge

0 Jul 10, 2013

Kwa kina dada: Hizi ndizo sababu kuu TANO za kwa nini Hauolewi mpaka sasa.

1.We MUONGO Mwanamke kuwa muongo katika mapenzi ni kitu kibaya sana kinachosababisha wanaume wengi kupoteza imani naye kuweza kuishi naye k…

Started by Tulonge

1 Jul 8, 2013
Reply by MGAO SIAMINI,P

Fahamu namna ya kuishi na mpenzi anayependa fedha!

HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika ma…

Started by Tulonge

3 May 27, 2013
Reply by Dixon Kaishozi

Mavazi ni ‘bendera’ muhimu katika uhusiano – Wataalamu

KABLA ya kumshawishi mpenzi wako akupatie burudani, ni muhimu kutazama mtindo wake wa mavazi kwanza ili ufahamu kama yuko tayari  kwa ngom…

Started by Lilian

1 May 24, 2013
Reply by Christer

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*