Tulonge

Information

Cheka Unenepe

hili ni kundi ambalo litakuwa linahusiana na mambo ya kuchekesha, si mnajua umuhimu wa kucheka jamani huongeza uhai Haya twende sasa.....

Members: 45
Latest Activity: Nov 21, 2014

Discussion Forum

Wazenji kwenye gwaride.

Started by Wa Kimberly. Last reply by Wa Kimberly Dec 10, 2013. 4 Replies

wazenji kwenye gwaride..yahee mguu kando mguu kati.. geuka bara geuka pemba..yahee mwili rejeshaaa...Continue

Sidhani kama jamaa atarudia kumtokea huyo binti

Started by Tulonge. Last reply by Dixon Kaishozi Nov 13, 2013. 1 Reply

Continue

DOGO USINGIZINI.

Started by Wa Kimberly. Last reply by Remmy Benson Mganga Nov 10, 2013. 5 Replies

DOGO alikuwa katika usingizi mzito AKAOTA anatafuna PAPAI, akalitafuna mpaka likaisha... Ghafla akaona nazi, akajaribu kuivunja akashindwa akaona heri aitafune tu kwa meno, ile anaanza tu, akaamshwa kwa BONGE la KOFI toka kwa baba yake.BABA: Pumbafu…Continue

Mshangao wa Zuzu alipoambiwa Mahari ni sh. Mil 5

Started by Tulonge. Last reply by chaoga Nov 10, 2013. 3 Replies

Zuzu aliposa akaambiwa mahari million 5 akasema kwa mshangao "hee!! Milion 5? wakati hapo kwa jirani nimeambiwa laki 2 tu tena Binti Ana mimba kabisa"Continue

Assume you are in the jungle

Started by Tulonge Jun 29, 2013. 0 Replies

Teacher: Assume you are in the jungle and u meet a big LION, what'll u do?Student: I'll stop assumingContinue

Teacher & Akpos

Started by Christer. Last reply by MGAO SIAMINI,P May 12, 2013. 4 Replies

Teacher: If I give you 2 cats and another 2 cats and another 2 cats, how many cats will you have? AKPOS: Seven, Sir. Teacher: No, listen carefully. If I gave you 2 cats, and another 2 cats and another 2 cats, how many will you have? AKPOS: Seven.…Continue

Mke mkweli..

Started by Tulonge. Last reply by ILYA May 8, 2013. 12 Replies

MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi ushavunja uaminifu wako wa ndoa mara ngapi? MKE:"Mara ya kwanza nililala na mwenye nyumba,sababu alidai kodi yake" MUME:"Mmmh...sio mbaya" MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa operation ikawa hakuna pesa ikabidi…Continue

Dogo na Dingi

Started by Wa Kimberly. Last reply by Christer Apr 22, 2013. 4 Replies

Dogo katumwa magazeti na DingiAlipoyafikisha nyumbani akayaweka kwenye frijiBABA,wewe dogo magazeti yapo wapiDOGO,yapo kwenye frijiBABA,hivi wewe una akili,kwanini umeyaweka kwenye frijiDOGO,Baba nataka yapoe maana yameandikwa HABARI MOTOMOTOContinue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of Cheka Unenepe to add comments!

Comment by Mama Malaika on August 5, 2012 at 17:13

Ha haa haaa...... hiyo samaki balaaa.

Comment by Tulonge on July 7, 2012 at 6:47

Haahahahahahaaaaa majibu  ya muuza samaki balaaa

Comment by KUNAMBI Jr on June 17, 2012 at 22:19

kaka chaoga hapa umefanya la mana kabisa hah hah hah ngoja niandae vunja mbavu zangu

Comment by KUNAMBI Jr on June 17, 2012 at 22:07

MUUZA SAMAKI NA MTEJA
Mteja:samaki sh ngapi
Muuza samaki:sh 5000
Mteja:mwisho??
Muuza samaki:Mkiani
Mteja:mbona kalegea
Muuza samaki:labda alikua shoga baharini

Mteja hoiiiiiiiiiiiii

Comment by Mama Malaika on February 22, 2012 at 0:08

Ha haa haaa... Chaoga hiyo kali

Comment by Bonielly on February 20, 2012 at 13:18
kweli kukopa raha, kulipa karaha,
Comment by Bonielly on February 20, 2012 at 13:17
kwenye daladala utalipa kaka chaoga lkn sio kwenye sadaka,
Comment by Alfan Mlali on February 19, 2012 at 12:23
Hahahahahhaaahhaa...kweli kiudaiwa noma mpaka jamaa kajitumbukiza chooni na harufu yote hiyo!!??????
Comment by chaoga on February 19, 2012 at 10:38

KUKOPA SHEREHE KULIPA MATANGA...

Comment by Alfan Mlali on February 14, 2012 at 16:52

hahahahahhhaa! jamaa anamlipia demu sadaka tehetehetehetehet

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*