hili ni kundi ambalo litakuwa linahusiana na mambo ya kuchekesha, si mnajua umuhimu wa kucheka jamani huongeza uhai Haya twende sasa.....
Members: 45
Latest Activity: Nov 21, 2014
Started by Wa Kimberly. Last reply by Wa Kimberly Dec 10, 2013. 4 Replies 0 Likes
wazenji kwenye gwaride..yahee mguu kando mguu kati.. geuka bara geuka pemba..yahee mwili rejeshaaa...Continue
Started by Tulonge. Last reply by Dixon Kaishozi Nov 13, 2013. 1 Reply 0 Likes
Started by Wa Kimberly. Last reply by Remmy Benson Mganga Nov 10, 2013. 5 Replies 2 Likes
DOGO alikuwa katika usingizi mzito AKAOTA anatafuna PAPAI, akalitafuna mpaka likaisha... Ghafla akaona nazi, akajaribu kuivunja akashindwa akaona heri aitafune tu kwa meno, ile anaanza tu, akaamshwa kwa BONGE la KOFI toka kwa baba yake.BABA: Pumbafu…Continue
Started by Tulonge. Last reply by chaoga Nov 10, 2013. 3 Replies 0 Likes
Zuzu aliposa akaambiwa mahari million 5 akasema kwa mshangao "hee!! Milion 5? wakati hapo kwa jirani nimeambiwa laki 2 tu tena Binti Ana mimba kabisa"Continue
Started by Tulonge Jun 29, 2013. 0 Replies 0 Likes
Teacher: Assume you are in the jungle and u meet a big LION, what'll u do?Student: I'll stop assumingContinue
Started by Christer. Last reply by MGAO SIAMINI,P May 12, 2013. 4 Replies 0 Likes
Teacher: If I give you 2 cats and another 2 cats and another 2 cats, how many cats will you have? AKPOS: Seven, Sir. Teacher: No, listen carefully. If I gave you 2 cats, and another 2 cats and another 2 cats, how many will you have? AKPOS: Seven.…Continue
Started by Tulonge. Last reply by ILYA May 8, 2013. 12 Replies 3 Likes
MUME:"Nambie ukweli mke wangu,hivi ushavunja uaminifu wako wa ndoa mara ngapi? MKE:"Mara ya kwanza nililala na mwenye nyumba,sababu alidai kodi yake" MUME:"Mmmh...sio mbaya" MKE:"Mara ya pili ni siku ulipofanyiwa operation ikawa hakuna pesa ikabidi…Continue
Started by Wa Kimberly. Last reply by Christer Apr 22, 2013. 4 Replies 0 Likes
Dogo katumwa magazeti na DingiAlipoyafikisha nyumbani akayaweka kwenye frijiBABA,wewe dogo magazeti yapo wapiDOGO,yapo kwenye frijiBABA,hivi wewe una akili,kwanini umeyaweka kwenye frijiDOGO,Baba nataka yapoe maana yameandikwa HABARI MOTOMOTOContinue
Add a Comment
JAMAA KAMZIMIA DEMU KANISANI, MARA UKAFIKIA MUDA WA KUTOA SADAKA, UNAJUA ALICHOMWAMBIA DEM? "dont worry I'll pay for you"...
Hahahaa hata hapa kijijini kuna wakina Glory kibao.. hahaa
Safi sana,hapa ndio nyumbani kwenye cheka unenepe.
Hahahahaaaa unacheza na kufa nini.Lazima ujihami
hahaaaaa!! nadhani nitanenepa kidogo hapa.
huyo jamaa hesabu zake anajua akitaja jina la mkewe nayeye ataambiwa kwa sababu a.k.a yako inafanana na jina la mke wangu basi nakuachi kufa noma,
ha ha ha UHAI unafikiri mchezo@alfan
hahahahahahaha! Huyo jamaa atakuwa hazimtoshi kabisa...
Familia Moja ilivamiwa na majambazi baada ya kuiba majambazi yakataka mahojiano na baba na mama.
jambazi: we mwanamke unaitwa nani?
mama: naitwa Glory.
jambazi: una bahati jina lako ni kama la mke wangu ningekupasua pasua hicho kichwa, na wewe mwanaume unaitwa nani?
baba: naitwa john ila kazini wanapenda kuniita GLORY......
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Cheka Unenepe to add comments!