Hili ni kundi ambalo lina mfululizo wa hadithi toka kwa waandishi mbalimbali. Hadithi zote zitapitia kwa 'Administrator' kabla ya kuwekwa hapa.
Members: 12
Latest Activity: Nov 21, 2014
Started by Tulonge. Last reply by Vitus Jan 20, 2014. 2 Replies 3 Likes
Na Vitus NgiliuleGhafla nilimuona mtoto mdogo mwenye umri wa kama miaka sita hivi akiwa amejifunga shuka jeupe lililokuwa liking’aa sana, nilishindwa kuitambua jinsia ya huyu mtoto kwani alikuwa…Continue
Started by Tulonge Dec 24, 2013. 0 Replies 2 Likes
Na Vitus NgiliuleMara tu baada ya kusimama aliigonga ile meza kwa nguvu akitumia mkono wake wa kulia, nilibaki nashangaa nisielewe ni nini kilikuwa kikiendelea pale. Yule kaka alimsogelea dada Hidaya…Continue
Started by Tulonge Dec 16, 2013. 0 Replies 2 Likes
Na Vitus NgiliuleIle sauti ya mama iliendelea kuniita kwa nguvu mno na wakati nikiwa bado nahangaika katika lile giza ili niweze kumuona mama, ghafla ulishuka mwanga mkali sana kutoka juu ukamulika…Continue
Started by Tulonge Dec 10, 2013. 0 Replies 1 Like
Na Vitus NgiliuleNilipotazama mlango huo wa kuingilia nilimuona yule dereva anangia akiwa ameshikilia ile briefcase nyeusi ya yule dada, alikuja moja kwa moja hadi yale maeneo ya sebuleni kisha…Continue
Add a Comment
© 2019 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of HADITHI to add comments!