Tulonge

Information

MAPENZI

Mapenzi ni moja kati ya mambo yaliyo tawala sana katika ulimwengu huu kwa sasa. Hatuna budi kuchukua nafasi hii ili tuweze kubadilishana mawazo kuhusu mapenzi.

Members: 78
Latest Activity: Dec 1, 2014

Discussion Forum

Kwa nn wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa kiasi?

Started by Lilian. Last reply by david ngoiya Dec 1, 2014. 1 Reply

Kabla ya kuanza najua wale wanaume wenye vibamia watachukizwa na kuiponda mada hii. Ila huu ndiyo ukweli, wanawake tuliowengi huwa…Continue

Top reasons why men cheat

Started by Tulonge Dec 31, 2013. 0 Replies

What makes men cheat? Dr Kamal Khurana,relationship counselor, dug through past research on male infidelity, and has even counseled couples…Continue

Jinsi ya kumuandaa mpenzi wako kabla ya mechi

Started by Tulonge. Last reply by Bonielly Dec 23, 2013. 1 Reply

Kitu chochote ukitaka ukifanye ukiwa na raha,ni lazima ukiandae vizuri..Katika suala la mapenzi, watu wengi wameshindwa kufikia kilele cha…Continue

Mambo ya kuepuka baada ya kuchumbiwa

Started by Tulonge. Last reply by Bonielly Nov 27, 2013. 1 Reply

Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wake unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda…Continue

Madhara matano (5) ya kufanya mapenzi sana kupita kiasi

Started by Lilian. Last reply by Bonielly Nov 25, 2013. 4 Replies

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta…Continue

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Started by Tulonge. Last reply by Dixon Kaishozi Nov 5, 2013. 1 Reply

Kuna dalili nyingi ambazo zinajitokeza, lakini ukiona zaidi ya dalili mbili zinajitokeza kuna uwezekano mkubwa wa kitu kinachoendelea nje ya mahusiano yenu au ndoa yenu. MaumbileViungo vya uzaziViungo vya mahusiano vya mwanamke kwa kawaida bila…Continue

Dalili 8 za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Started by Lilian. Last reply by Lilian Oct 6, 2013. 4 Replies

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko…Continue

Utafiti: Kitanda kikubwa hatari kwa ndoa yako

Started by Joan. Last reply by Mama Malaika Oct 3, 2013. 8 Replies

Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na…Continue

Comment Wall

Add a Comment

You need to be a member of MAPENZI to add comments!

Comment by likoni nyau on October 15, 2010 at 19:25
tuseme umeshamtayarisha tayari na kakolea matayarisho ,sasa kama kafimbo ka kumchapia hata ukutani akigusi hapo inakuaje wajameni?na kama mjuavyo hizi za siku hizi ni over size[wenyewe mwaita za kichina]!!!mi naona kuna kijiukweli ukubwa nao muhimu!!.
Comment by Agnes Nyakunga on October 15, 2010 at 16:16
wera wera ni kweli wakati mwingine ni pepo tu wangono kakutawala unasingizia mwanaume anaumbile dogo wapiiii hata huko ukienda pia utasema hana ujuzi vile vile.
Comment by Bonielly on October 15, 2010 at 16:11
wengine wanajidanganya ukiwa na size kubwa ndio utamtosheleza mwanamke, kama hauwezi kumuandaa atakukimbia na maumbile yako hayo, makubwa kama ninihii ha ha ha ha ha aaaa
Comment by Agnes Nyakunga on October 15, 2010 at 16:06
sawa kabisa kaka Bon, nimekubali hoja yako.
Comment by Bonielly on October 15, 2010 at 14:17
ukweli ni kwamba ufundi unahitajika katika malovee, bcz hata kama una umbo kubwa, kama sio fundi ni sawa na kupiga mbizi sakafuni, lzm ukubali kwamba mungu hakuumba size moja no, kaumba size tofauti,
Comment by Agnes Nyakunga on October 15, 2010 at 12:37
si kweli kama uume mdogo utakufanya utoke nje ya ndoa yako, kwa mtizamo wangu hiyo inakuwa tu nia tabia yako, kama umempenda mumeo ridhika naye kuna kila jinsi za kukufanya uridhike na mumeo, kwanza inahitaji wote muwe mmetayarishana sana kabla ya hilo tendo la ndoa
Comment by Severin on October 14, 2010 at 21:28
Nimekusoma mkuu
Comment by silviusmarchades on October 14, 2010 at 16:23
kuhusu malavidavi, kutokana na dunia inapoelekea na ulimwengu huu wa mapenzi inabidi uweCreative Thinking ili uweze kumbadilisha mtu atoke kwenye hisia za kimapenzi inabidi uwe na nyenzo za kumshawishi bila hivyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
 

Members (78)

 
 
 

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*