Karibuni wadau wote kwenye kundi hili muhimu kuhusu tiba na afya zetu. Mnakaribishwa kuchangia na kubadirishana mawazao kuhusu Tiba Mbadala iwe kuhusu toka kwenye mimea, viungo, chakula, matunda, vinywaji, wadudu, n.k.
Tiba Mbadala yatumika dunia nzima. Hata waingereza walogundua antibiotic na dawa nyingine nyingi bado wana thamini na kuendeleza Tiba Mbadala (e.g. vitunguu swaumu kwa High Blood Pressure na moyo mkubwa).
Iwapo mtu amepata article yeyote kuhusu Tiba Mbadala pahala naomba sana atuwekee hapo chini kwenye Discussion Forum (add a forum). Hata kama ni ya kiingereza hakuna mashaka.
Members: 36
Latest Activity: Nov 21, 2014
Started by Tulonge. Last reply by Mama Malaika Jan 20, 2014. 2 Replies 1 Like
Kumbuka kuwa hata chungwa moja tuukila lina kidhi yale mahitaji muhimu ya mwili ya kila siku (dailyrequirement), iwe chungwa lenyewe…Continue
Started by Mama Malaika Nov 20, 2013. 0 Replies 0 Likes
Bananas contain three natural sugars – sucrose, fructose and glucose combined with fiber. A banana gives an instant, sustained and…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Dixon Kaishozi Oct 28, 2013. 3 Replies 1 Like
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali duniani, ugonjwa wa kansa unatajwa kuwa ndio ugonjwa wa hatari zaidi pengine kuliko ugonjwa mwingine wowote uliowahi kutokea katika historia ya mwanadamu. Nchini Tanzania pekee kiasi cha watu 100 hufariki dunia KILA…Continue
Started by Mama Malaika. Last reply by Regina Lipyana Haule Oct 22, 2013. 1 Reply 0 Likes
Watafiti wanasema kuwa mafuta ya nazi na nazi tunayokula kwenye vyakula yanasaidia mwili wetu kuwa nguvu ya kupigana na wadudu wanaosababisha magonjwa. Na zaidi zaidi yasaidia ku ulinda mwili na fungus (including yeast and candida).Na zaidi ya yote,…Continue
Started by Tulonge Oct 8, 2013. 0 Replies 2 Likes
Tangawizi ina faida nyingi sana kwa mwili wa mwanadamu. Baadhi ya faida hizo ni kama ifuatavyo :1. Kutibu kutokusagika kwa…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Mama Malaika Sep 28, 2013. 2 Replies 1 Like
Mwandishi Freddy Macha anafafanua faida nyingi sana za tunda ambalo wengi hatulipi hadhi yake kama inavyostahili.Video na Hakingowi BlogContinue
Started by Tulonge. Last reply by Mama Malaika Sep 28, 2013. 2 Replies 1 Like
Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho kuhusu unywaji wa maji kama tiba mbadala ya maradhi mbalimbali. Tafadhali endelea kusoma ili kujua namna…Continue
Started by Tulonge. Last reply by Mama Malaika Sep 28, 2013. 2 Replies 1 Like
Hawakukosea wale waliosema kuwa mboga za majani na matunda ni kinga kwa afya yako. Matunda mengi yana manufaa lakini tango tunasema limetia…Continue
Add a Comment
hapa leo nimemmiss joan
Nimesha karibia jamani, ninajua nitajifunza mengi
Ha haa haa haa haaa.... Christer unanimaliza kwa kucheka.
Hata akienda haisaidii hivyo ndo katiba inavyosema.
Ha haa haa haa haa haa haaa..... Naona Chaoga ataenda Mahakama ya Rufaa
@ Chaoga itabidi ungoje mpaka baada ya miaka 8, sababu anakaa miaka mitano km Rais alafu ruksa kugombea tena kwa miaka 5, atagombea tena. kwass ndo ana miaka 2 tu kwny taji. POLE SANA
ina maana mr tulonge hilo taji ndio la moja kwa moja? @christer
Ha haa haa haa haa haaaaa.... Christer hiyo kali. Unamkatisha tamaa Chaoga mapema
hahahahahah@ Chaoga umemsikia Christer???
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tiba Mbadala to add comments!