Hapa Tuna weza kuelimishana juu ya ukimwi na mengine mengi ya zinaa.tujuika pamoja
Location: Around the World
Members: 20
Latest Activity: Nov 11, 2011
Started by ABD. Last reply by eddie Feb 21, 2011. 14 Replies 0 Likes
Started by ABD. Last reply by Alfan Mlali Jan 24, 2011. 3 Replies 0 Likes
Je nikweli ule usemi ulioenea bongo kwa miaka kazaa iliyo pita na mpaka sasa watu wengine bado wanautumia usemi wenyewe ni ALIE SHIBA ANAMUAMBUKIZA MWENYE NJAA? (Tajiri humuambukiza maskini) AU NA…Continue
Started by ABD. Last reply by Tulonge Dec 29, 2010. 2 Replies 0 Likes
MASIKINI MTOTO HAPPY AKIWA NA MSHUMAA WAKE AKIWAPELEKEA WATU WENGINE NAO WAWASHE…Continue
Started by ABD Dec 27, 2010. 0 Replies 0 Likes
Kunyanyapaa na kutenga imegundulika kuwa ni suala la dunia nzima linatokea kila sehemu duniani kote.Unyanyapaa unaongezeka na kuwa suala nyeti sana katika ugumu wa kusema juu ya UKIMWI.Hata hivyo kwa…Continue
Add a Comment
HAhahahahahahahaha! Mimi najali jamani....Agnes usimsikilize ABD ana chuki binafsi na mimi.
ABD hilo box ilitakiwa uanze kujichongea wewe kwanza maana na vile vifaa vyako si mchezo!
Habari za asubuhi wanatulonge, itakuwa ngumu kuumaliza unyanyapaa kwa wagonjwa wa ukimwi kwa sababu hakuna elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusu maambukizi na ukimwi wenyewe, mpangaji anadiriki kuhama chumba kisa mwenye nyumba ana ukimwi inatisha jamani,
Nchi kama India waathiraka wametengewa maeneo ya kuishi.
Unyanyapapaa na ubaguzi kwa wagonjwa wa ukimwi ndio chanzo cha watu kutojitangaza kwenye jamii, ndio maana imekuwa si rahisi kupunguza maambukizi ya virus vya ukimwi, muathirika akishajijua anao ndio kabisaa anaongeza mashambulizi...
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Ukimwi Ni Nomaa to add comments!