Share 'Magufuli asema wakazi wa Kigamboni wameridhia nauli mpya za vivuko. Aliongea na mkazi gani???'
Katika hali ya kushangaza waziri wa ujenzi Dk John Magufuli ameshangaza uma kwa kusema kuwa wananchi wa Kigamboni wameridhia kutoa nauli mpya bila wasiwasi wowote. Haijajulikana alipata taarifa hizo toka kwa mkazi gani wa Kigamboni. Je ni asilimia ngapi ya wakazi wa Kigamboni wamekubaliana na suala hilo.
Ni kweli wakazi wa Kigamboni wanaendelea kutoa nauli mpya kwa sababu hawana njia nyingine…