Share 'Je unawajua Mamilionea wa Kike Afrika'
Fuatilia orodha hii hapa chini jinsi wanawake wanavyoendelea kuwa mamilionea wa karne ya 21
Isabel Dos Santos (Angola) Jina: Isabel Dos Santos Raia: Angola Net Worth: Unknown Chanzo: Uwekezaji binti wa kwanza wa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, Isabel dos Santos alianza biashara katika umri wa miaka 24 kwa kutumia ushawishi wa baba yake kupata faida kubwa ya mikataba. Anaendelea na mahus…