Share 'Alichokiandika Msanja Makandamizaji kwenye ukurasa wake wa Facebook kuhusu Vengu'
Hiki ndicho nilicho kitkuta kwenye page ya msanii wa kundi la Original Comedy (Masanja) akigusia kiduchu kuhusu hali ya Vengu ambaye ni muigizaji mwenzake kwenye kundi hilo kuwa ni salama.Vengu amekuwa akiumwa kwa muda mrefu sasa na alipelekwa nje kwa matibabu.Hivi karibuni ilisemekana amerudishwa hapa Tanzania.