Share 'Daladala Dar kugoma rasmi wiki ijayo'
Na Heri Shaaban
CHAMA cha Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam (DARCOBOA), kimetangaza kuanza mgomo kwa ajili ya kupinga manyanyaso wanayofanyiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wa kuzikamata bila utaratibu.
Akitangaza mgomo huo kwa waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Sabri Mabrouk, alisema wamechukua uamuzi huo baada ya S…