Share 'Matokeo ya kidato cha pili aibu'
Waziri wa Elimu Phlip Mulugo
*Nusu ya wanafunzi wafeli vibaya, wasichana safi *Shule 10 za mwisho zatoka Lindi, Mtwara MATOKEO ya mtihani kidato cha pili uliofanyika mwaka jana, yametangazwa jana na kuonyesha karibu nusu ya watahiniwa wakifeli mtihani huo. Akitangaza matokeo hayo mjini Dar es Salaam jana, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, alisema jumla ya wanafunzi 249…