Share 'Sumbawanga: Sista aliyefumaniwa na mume wa mtu aamriwa kulipa fidia'
Mahakama ya Mwanzo mjini Sumbawanga, imemtia hatiani aliyekuwa Sista wa Shirika la Kitawa la Kanisa Katoliki, Jimbo la Sumbawanga, Yasinta Sindani, kwa kufumaniwa na mume wa mtu. Kutokana na kutiwa hatiani, Yasinta aliamriwa kumlipa fidia ya kimila ya Sh 700,000, malalamikaji, Asteria Mgabo.
Katika kesi hiyo ya msingi ya madai, Asteria alikuwa akimtaka mshitakiwa alipe Sh milioni 3 ya fi…