Share 'Wanafunzi UDSM wambana Waziri Mkuu wa Denmark awaeleze dhumuni la misaada itolewayo TZ na Serikali yake'
Wanafunzi wa Chuo Kikuu ccha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na kampasi zake wamembana Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa ziara yake ya kukitembelea chuo hicho. Wanafunzi hao walimtaka Waziri Mkuu huyo kueleza madhumuni ya misaada mbalimbali inayotolewa na serikali yake nchini ikiwamo ya elimu iwapo inatolewa ili kuinua kiwango cha elimu au la. Kutolewa kwa hoja hiyo kunafuatia…