Share 'Mwokoaji mwenye kipaji cha ajabu asimulia'
Mkazi wa Magomeni, Yusuf Aboubakar aliyejitolea kufanya kazi ya uokoaji katika jengo lililoporomoka la ghorofa 16 Mtaa wa Indira Gandhi akiwa amepumzika baada ya zoezi la kuondoa kifusi na uokoji kumalizika, juzi. Picha na Fidelis Felix.
Dar es Salaam. Siku ya nne baada ya jengo la ghorofa 16 kuporomoka, Yusuf Aboubakar ambaye ni mwokoaji wa kujitolea aliyeopoa miili yote 36,…