Share 'Wananchi wa Liwale wachoma moto majengo wakidai malipo ya pili ya korosho'
Imeripotiwa kuwa Wananchi mkoani Lindi wamefanya vurugu kwa kuvunja nyumba na ofisi za viongozi wilayani Liwale, zikiwemo ofisi ya Mbunge, Seif Mohamed Mitambo, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Ofisi na nyumba ya Mwenyekiti wa Chama cha Msingi cha Liwale B.
Wakazi hao wanadai ni hasira za kutokana na kupuuzwa kwa malalamiko ya kutolipwa fedha zao za awamu ya pili ya mauzo kwa mfumo wa ununuzi wa koros…