Share 'Waziri Membe: M23 hawatutishi'
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano na Kimataifa Bernard Membe
Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano na Kimataifa Bernard Membe, amesema kuwa kamwe Tanzania haitaogopa vitisho vinavyotolewa na Kikundi cha Waasi cha M23 cha DRC, huku akitoa masharti matatu kwa kikundi hicho kama hakitaki majeshi ya Tanzania yaende nchini humo.
Membe alisema hayo, akijibu hoja iliyotolew…