Share 'Wachezaji wa Tanzania chupuchupu kutapeliwa kwa tamaa ya kucheza Ulaya'
Mngetapeliwa; Kutoka kulia, Athumani Iddi 'Chuji',Amri Kiemba na Nadir Haroub 'Cananvaro', wachezaji wa Taifa Stars wanaocheza nyumbani, ambao wote wana kiu ya kucheza Ulaya
Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 2:31 ASUBUHIUTAPELI umedunda! Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeshitukia utapeliwa uliotakwa kufanywa na watu wanaojifanya mawakala wa wachezaji kwa gia ya kutaka kuwata…