Share 'Msanii Nick wa Pili atunukiwa Shahada ya Pili (masters) UDSM leo'
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Nick wa Pili kulia ambaye ni mdogo wake msanii Joh Makini akiwa kwenye picha ya pamoja na rafikiye baada ya kutunukiwa Shahada ya pili ya Maendeleo katika chuo kikuu cha Dar es Salaam leo.
Dj Choka kushoto, Nick wa Pili na Joh Makini
Nick wa pili katikati akiwa na wahitimu wenzake
Nick akihojiwa na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo.
Tazama video ya…